The Muslims Internet Directory
SURATUL HIJR
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURATUL HIJR
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[15.1] Alif Lam Ra. (A.L.R). Hizi ni Aya za Kitabu naQur'ani inayo bainisha.
[15.2] HUENDA ikawa walio kufuru wakatamani wange kuwaWaislamu.
[15.3] Waache wale, na wastarehe, na iwazuge tamaa.Watakuja jua.
[15.4] Na hatukuuangamiza mji wowote ule ila ulikuwa namuda wake maalumu.
[15.5] Hawawezi watu wowote kuitangulia ajali yao, walakuchelewa.
[15.6] Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakikawewe ni mwendawazimu.
[15.7] Mbona hutuletei Malaika ikiwa wewe ni miongoni mwawasemao kweli?
[15.8] Sisi hatuwateremshi Malaika ila kwa sababu ya haki,na hapo hawatapewa muhula.
[15.9] Hakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu, nahakika Sisi ndio tutao ulinda.
[15.10] Na hakika tulikwisha watumia Mitume mataifa yamwanzo.
[15.11] Na hakuwafikia Mtume ila walimkejeli.
[15.12] Na kama hivi ndivyo tunavyo ingiza katika nyoyo zawakosefu.
[15.13] Hawayaamini haya, na hali ya kuwa umekwishawapitia mfano wa watu wa kale.
[15.14] Na lau tungeli wafungulia mlango wa mbingu, wakawawanapanda,
[15.15] Basi wangeli sema: Macho yetu yamelevywa, balisisi wenyewe tumerogwa.
[15.16] Na hakika tumeweka katika mbingu vituo vya sayari,na tumezipamba kwa wenye kuangalia.
[15.17] Na tumezilinda na kila shetani afukuzwaye.
[15.18] Isipo kuwa mwenye kusikiliza kwa kuibia, nayehufuatwa na kijinga cha moto kinacho onekana.
[15.19] Na ardhi tumeitandaza na humo tumeweka milima, natumeotesha kila kitu kwa kiasi chake.
[15.20] Na tumekujaalieni humo vitu vya maisha yenu, na yahao ambao nyinyi sio wenye kuwaruzuku.
[15.21] Na hakuna chochote ila asili yake inatokana naSisi; wala hatukiteremshi ila kwa kipimo maalumu.
[15.22] Na tunazipeleka pepo za kupandishia, natunateremsha kutoka mbinguni maji, kishatukakunywesheni maji hayo. Wala si nyinyi mnayoyaweka.
[15.23] Na Sisi ndio tunao huisha na tunao fisha. Na Sisindio Warithi.
[15.24] Na tunawajua walio tangulia katika nyinyi, natunawajua walio taakhari.
[15.25] Na hakika Mola wako Mlezi ndiye atakaye wakusanya.Hakika Yeye ni Mwenye hikima na Mjuzi.
[15.26] Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura.
[15.27] Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepoumoto.
[15.28] Na Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: HakikaMimi nitamuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura.
[15.29] Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia rohoyangu, basi mumwangukie kumsujudia.
[15.30] Basi Malaika wote pamoja walimsujudia,
[15.31] Isipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja nawalio sujudu.
[15.32] (Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Iblisi! Una ninihata hukuwa pamoja na walio sujudu?
[15.33] Akasema: Haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumbakwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yenyesura.
[15.34](Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwanihakika wewe ni maluuni!
[15.35] Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo.
[15.36] Akasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhulampaka siku watapo fufuliwa.
[15.37] (Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katikawalio pewa muhula
[15.38] Mpaka siku ya wakati maalumu.
[15.39] Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitiamakosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani nanitawapoteza wote,
[15.40] Ila waja wako walio safika.
[15.41] Akasema: Hii Njia ya kujia kwangu Iliyo Nyooka.
[15.42] Hakika waja wangu, wewe hutakuwa na mamlaka juuyao, isipo kuwa wale wapotofu walio kufuata.
[15.43] Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipoahidiwa wote.
[15.44] Ina milango saba; na kwa kila mlango iko sehemuwalio tengewa.
[15.45] Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani nachemchem.
[15.46] (Wataambiwa:) Ingieni kwa salama na amani.
[15.47] Na tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawendugu juu ya viti vya enzi wameelekeana.
[15.48] Humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo.
[15.49] Waambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenyekusamehe, Mwenye kurehemu.
[15.50] Na kwamba adhabu yangu ndio adhabu iliyo chungu!
[15.51] Na uwape khabari za wageni wa Ibrahim.
[15.52] Walipo ingia kwake na wakasema: Salama! Yeyeakasema: Hakika sisi tunakuogopeni.
[15.53] Wakasema: Usiogope. Sisi tunakubashiria kijanamwenye ujuzi.
[15.54] Akasema: Mnanibashiria nami uzee umenishika! Basikwa njia gani mnanibashiria?
[15.55] Wakasema: Tunakubashiria kwa haki; basi usiwemiongoni mwa wanao kata tamaa.
[15.56] Akasema: Na nani anaye kata tamaa na rehema yaMola wake Mlezi ila wale walio potea?
[15.57] Akasema: Hebu nini amri yenu, enyi wajumbe?
[15.58] Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwa kaumu yawakosefu!
[15.59] Isipo kuwa walio mfuata Luut'i. Bila ya shaka sisitutawaokoa hao wote.
[15.60] Ila mkewe. Tunakadiria huyo atakuwa miongoni wataobakia nyuma.
[15.61] Basi wale wajumbe walipo fika kwa Luut'i,
[15.62] Alisema (Luut'i): Hakika nyinyi ni watu msiojuulikana.
[15.63] Wakasema: Bali sisi tumekuletea yale waliyo kuwawakiyafanyia shaka.
[15.64] Na tumefika kwako kwa Haki, na hakika sisitunasema kweli.
[15.65] Basi ondoka na ahli zako usiku ungalipo, naweufuate nyuma yao, wala yeyote kati yenu asigeukenyuma. Na mwende mnapo amrishwa.
[15.66] Na tukamfunulia hukumu hiyo, ya kwamba hata wamwisho wao hao ikifika asubuhi atakuwa kesha katiliwambali.
[15.67] Na wakaja watu wa mji ule nao furahani.
[15.68] Akasema: Hakika hawa wageni wangu, basimsinifedheheshe.
[15.69] Na mcheni Mwenyezi Mungu, wala msinihizi.
[15.70] Wakasema: Sisi hatukukukataza usimkaribisheyeyote?
[15.71] Akasema: Hawa binti zangu, ikiwa nyinyi niwatendaji.
[15.72] Naapa kwa umri wako! Hakika hao walikuwa katikaulevi wao, wakihangaika ovyo.
[15.73] Ukelele ukawatwaa wakipambaukiwa.
[15.74] Na tukaigeuza nchi juu chini, na tukawanyesheamvua ya mawe ya udongo wa Motoni.
[15.75] Hakika katika hayo zipo ishara kwa waaguzi.
[15.76] Na miji hii ipo kwenye njia inayo pitiwa.
[15.77] Hakika katika hayo ipo ishara kwa Waumini.
[15.78] Na hakika watu wa Kichakani walikuwa wenyekudhulumu.
[15.79] Kwa hivyo tukawaadhibu. Na nchi mbili hizi zikokwenye njia ilio wazi.
[15.80] Na bila ya shaka wakaazi wa Hijr waliwakanushaMitume.
[15.81] Na tuliwapa ishara zetu, nao wakazipuuza.
[15.82] Nao walikuwa wakichonga majumba katika milima kwaamani.
[15.83] Basi ukelele ukawatwaa asubuhi.
[15.84] Hayakuwafaa waliyo kuwa wakiyachuma.
[15.85] Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndaniyake ila kwa ajili ya Haki. Na hakika Kiyama kitafika.Basi samehe msamaha mzuri.
[15.86] Hakika Mola wako Mlezi ndiye Muumbaji Mjuzi.
[15.87] Na tumekupa Aya saba zinazo somwa mara kwa mara,na Qur'ani Tukufu.
[15.88] Usivitumbulie macho yako vitu tulivyo waneemeshamakundi fulani kati yao, wala usiwahuzunikie. Nawainamishie bawa lako (la huruma) Waumini.
[15.89] Na sema: Hakika mimi ni mwonyaji mwenyekubainisha.
[15.90] Kama hivyo tuliwateremshia walio gawa,
[15.91] Ambao wakaifanya Qur'ani vipande vipande.
[15.92] Basi Naapa kwa Mola wako Mlezi! Tutawahoji wote,
[15.93] Kwa waliyo kuwa wakiyatenda.
[15.94] Basi wewe yatangaze uliyo amrishwa, na jitenge nawashirikina.
[15.95] Hakika Sisi tunatosha kukukinga na wanao kejeli.
[15.96] Hao wanao fanya kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu yupomungu mwingine. Basi, watakuja jua!
[15.97] Na Sisi tunajua kwa hakika kuwa wewe kifua chakokinaona dhiki kwa hayo wayasemayo.
[15.98] Basi mtakase Mola wako Mlezi kwa kumhimidi, na uwemiongoni wanao msujudia.
[15.99] Na muabudu Mola wako Mlezi mpaka ikufikie Yakini.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN