[16.92] Wala msiwe kama mwanamke anaye uzongoa uzi wakebaada ya kwisha usokota ukawa mgumu. Mnavifanya viapovyenu kuwa ni njia ya kudanganyana baina yenu kwa kuwa ati taifa moja lina nguvu zaidi kuliko jengine?Hakika Mwenyezi Mungu anakujaribuni kwa njia hiyo. Nabila ya shaka atakubainishieni Siku ya Kiyama mliyo kuwa mkikhitalifiana.