[23.27] Tukampa wahyi: Unda jahazi mbele ya macho yetu nauwongozi wetu! Basi itapo fika amri yetu na ikafurikatanuri, hapo waingize ndani yake wa kila namna dume na jike, na ahali zako, isipo kuwa yule ambaye katikawao juu yake imekwisha tangulia kauli. Wala usinitajiehao walio dhulumu. Kwani hao bila ya shaka watazamishwa.