The Muslims Internet Directory
SURAT LUQMAN
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT LUQMAN
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[31.1] Alif Lam Mim (A.L.M.)
[31.2] Hizi ni Aya za Kitabu chenye hikima.
[31.3] Kuwa ni Uwongofu na Rehema kwa wafanyao wema,
[31.4] Wanao shika Sala, na wanatoa Zaka, nao wana yakinina Akhera.
[31.5] Hao ndio walio na uwongofu utokao kwa Mola waoMlezi, na hao ndio wenye kufanikiwa.
[31.6] Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua maneno yaupuuzi, ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungupasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha.
[31.7] Na (mtu kama huyo) anapo somewa Aya zetu huzipamgongo kwa kujivuna, kama kwamba hakuzisikia, kamakwamba masikioni mwake mna uziwi. Basi mbashirie kuwa atapata adhabu chungu.
[31.8] Hakika walio amini na wakatenda mema watakuwa nazoBustani za neema.
[31.9] Watadumu humo - ni ahadi ya Mwenyezi Mungu yakweli. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
[31.10] Ameziumba mbingu bila ya nguzo mnazo ziona; naameweka katika ardhi milima ili ardhi isikuyumbisheni;na ametawanya humo kila namna ya wanyama; na tumeteremsha maji kutoka mbinguni, na tukaoteshakatika ardhi mimea mizuri ya kila namna.
[31.11] Huu ni uumbaji wa Mwenyezi Mungu. Basi nionyesheniwameumba nini hao wasio kuwa Yeye! Lakini madhaalimuwamo katika upotovu uliyo dhaahiri.
[31.12] Na tulimpa Luqman hikima, tukamwambia: MshukuruMwenyezi Mungu. Na mwenye kushukuru basi hakikaanashukuru kwa manufaa ya nafsi yake. Na aliye kufuru,basi Mwenyezi Mungu ni Mkwasi, Msifiwa.
[31.13] Na Luqman alipo mwambia mwanawe kwa kumpamawaidha: Ewe mwanangu! Usimshirikishe Mwenyezi Mungu.Kwani hakika ushirikina bila ya shaka ni dhulma iliyo kubwa.
[31.14] Na tumemuusia mtu kwa wazazi wake wawili. Mamayake ameichukua mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu,na kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili. (Tumemuusia): Nishukuru Mimi na wazazi wako. Ni kwanguMimi ndiyo marudio.
[31.15] Na pindi wakikushikilia kunishirikisha na ambayohuna ilimu nayo, basi usiwat'ii. Lakini kaa nao kwawema duniani, nawe ishike njia ya anaye elekea kwangu. Kisha marejeo yenu ni kwangu Mimi, na Miminitakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda.
[31.16] Ewe mwanangu! Kikiwapo kitu cha uzito wa chembe yakhardali kikawa ndani ya jabali au ndani ya mbingu aundani ya ardhi, basi Mwenyezi Mungu atakileta. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa yaliyo fichika,Mwenye khabari za yote.
[31.17] Ewe mwanangu! Shika Sala, na amrisha mema, nakataza maovu, na subiri kwa yanayo kupata. Hayo nikatika mambo ya kuazimiwa..
[31.18] Wala usiwabeuwe watu, wala usitembee katika nchikwa maringo. Hakika Mwenyezi Mungu hampendi kila anayejivuna na kujifakhirisha.
[31.19] Na ushike mwendo wa katikati, na teremsha sautiyako. Hakika katika sauti mbaya zote bila ya shakailiyo zidi ni sauti ya punda.
[31.20] Kwani hamwoni ya kwamba Mwenyezi Mungu amevifanyavikutumikieni viliomo mbinguni na kwenye ardhi, naakakujalizieni neema zake, za dhaahiri na za siri? Na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu yaMwenyezi Mungu pasipo ilimu, wala uwongofu, walaKitabu chenye nuru.
[31.21] Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremshaMwenyezi Mungu, husema: Bali tunafuata tuliyo wakutanayo baba zetu. Je! Ijapo kuwa Shet'ani anawaitakwenye adhabu ya Moto uwakao?
[31.22] Na mwenye kuuelekeza uso wake kwa Mwenyezi Mungu,naye akawa anafanya wema, basi huyo hakika amekwishakamata fundo lilio madhubuti. Na mwisho wa mambo yote ni kwa Mwenyezi Mungu.
[31.23] Na anaye kufuru, isikuhuzunishe kufuru yake. Kwetundio marudio yao, na hapo tutawaambia waliyo yatenda.Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa yaliyomo vifuani.
[31.24] Tunawastarehesha kwa uchache, kisha tutawasukumakwenye adhabu ngumu.
[31.25] Na ukiwauliza: Nani aliye ziumba mbingu na ardhi?Bila ya shaka watasema: Mwenyezi Mungu. Wewe sema:Alhamdulillahi! Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Lakini wengi wao hawajui.
[31.26] Ni vya Mwenyezi Mungu vyote viliomo mbinguni nakatika ardhi. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mkwasi,Mwenye kusifiwa.
[31.27] Na lau kuwa miti yote iliyomo duniani ikawa nikalamu, na bahari (ikawa wino), na ikaongezewa juuyake bahari nyengine saba, maneno ya Mwenyezi Mungu yasingeli kwisha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenyenguvu, Mwenye hikima.
[31.28] Hakukuwa kuumbwa kwenu, wala kufufuliwa kwenu ilani kama nafsi moja tu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenyekusikia Mwenye kuona.
[31.29] Kwani huoni kwamba Mwenyezi Mungu huuingiza usikukatika mchana, na huuingiza mchana katika usiku, naamedhalilisha jua na mwezi? Vyote hivyo vinakwenda mpaka wakati ulio wekwa. Na Mwenyezi Munguanazo khabari za mnayo yatenda.
[31.30] Hivi ni kwa sababu hakika Mwenyezi Mungu ndiye wakweli, na hakika wanacho kiomba ni cha uwongo. Nakwamba hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mtukufu na ndiye Mkubwa.
[31.31] Kwani huoni kwamba marikebu hupita baharinizikichukua neema za Mwenyezi Mungu, ili kukuonyeshenibaadhi ya Ishara zake? Hakika katika haya zipo Ishara kwa kila mwenye kusubiri, mwenye kushukuru.
[31.32] Na wimbi linapo wafunika kama wingu, wao humwombaMwenyezi Mungu kwa kumsafia dini. Lakini anapo waokoawakafika nchi kavu, wapo baadhi yao huenda mwendo wa sawa. Wala hazikanushi Ishara zetu ila aliyekhaini kafiri mkubwa.
[31.33] Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi, na iogopenisiku ambayo mzazi hatamfaa mwana, wala mwana hatamfaamzazi kwa lolote. Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kweli. Basi yasikudanganyeni maisha ya dunia, walaasikudanganyeni na Mwenyezi Mungu mdanganyifu.
[31.34] Hakika kuijua Saa (ya Kiyama) kuko kwa MwenyeziMungu. Na Yeye ndiye anaye iteremsha mvua. Na anavijuaviliomo ndani ya matumbo ya uzazi. Na haijui nafsi yoyote itachuma nini kesho. Wala nafsi yoyote haijuiitafia nchi gani. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenyekujua, Mwenye khabari.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN