The Muslims Internet Directory
SURAT ADDUKHAN
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT ADDUKHAN
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[44.1] H'a Mim
[44.2] Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha,
[44.3] Hakika tumekiteremsha katika usiku ulio barikiwa.Hakika Sisi ni Waonyaji.
[44.4] Katika usiku huu hubainishwa kila jambo la hikima,
[44.5] Jambo litokalo kwetu. Hakika Sisi ndio wenyekutuma.
[44.6] Ni rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Hakika Yeyeni Mwenye kusikia Mwenye kujua.
[44.7] Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilio baina yao,ikiwa nyinyi mna yakini.
[44.8] Hakuna mungu ila Yeye; anahuisha na anafisha- MolaMlezi wenu na Mola Mlezi wa baba zenu wa mwanzo.
[44.9] Lakini wao wanacheza katika shaka.
[44.10] Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapo leta moshiulio dhaahiri,
[44.11] Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu!
[44.12] Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakikatutaamini.
[44.13] Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikiaMtume mwenye kubainisha.
[44.14] Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyuamefunzwa, naye ni mwendawazimu.
[44.15] Hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakininyinyi kwa yakini mtarejea vile vile!
[44.16] Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bilaya shaka Sisi ni wenye kutesa.
[44.17] Na hakika kabla ya hawa tuliwafanyia mtihani watuwa Firauni, na aliwafikia Mtume Mtukufu.
[44.18] Akasema: Nipeni waja wa Mwenyezi Mungu; kwa hakikamimi kwenu ni Mtume Muaminifu.
[44.19] Na msimfanyie kiburi Mwenyezi Mungu; hakika miminitakuleteeni uthibitisho ulio wazi.
[44.20] Nami najikinga kwa Mola wangu Mlezi na ndiye Molawenu Mlezi pia, ili msinipige mawe.
[44.21] Na ikiwa hamniamini, basi jitengeni nami.
[44.22] Ndipo akamwomba Mola wake Mlezi: Hakika watu hawani wakosefu.
[44.23] Mwenyezi Mungu akasema: Basi nenda na waja wanguusiku. Kwa yakini mtafuatwa.
[44.24] Na iache bahari vivyo hivyo imeachana, hakika waohao ni jeshi litakalo zamishwa.
[44.25] Mabustani mangapi, na chemchem ngapi waliziacha!
[44.26] Na mimea na vyeo vitukufu!
[44.27] Na neema walizo kuwa wakijistareheshea!
[44.28] Ndio hivyo! Na tukawarithisha haya watu wenginewe.
[44.29] La mbingu wala ardhi hazikuwalilia, walahawakupewa muhula.
[44.30] Na bila ya shaka tuliwaokoa Wana wa Israili katikaadhabu ya kuwadhalilisha,
[44.31] Ya Firauni. Hakika yeye alikuwa jeuri katika wenyekupindukia mipaka.
[44.32] Na tuliwakhiari kwa ujuzi wetu kuliko walimwenguwenginewe.
[44.33] Na tukawapa katika ishara zenye majaribio yaliyowazi.
[44.34] Hakika hawa wanasema:
[44.35] Hapana ila kufa kwetu mara ya kwanza tu, wala sisihatufufuliwi.
[44.36] Basi warudisheni baba zetu, ikiwa nyinyi mnasemakweli.
[44.37] Je! Ni wao bora au watu wa Tubbaa' na walio kuwakabla yao? Tuliwaangamiza. Hakika hao walikuwawakosefu.
[44.38] Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyomo bainayake kwa mchezo.
[44.39] Hatukuviumba hivyo ila kwa Haki, lakini wengi waohawajui.
[44.40] Hakika siku ya Uamuzi ni wakati ulio wekwa kwa waowote.
[44.41] Siku ambayo rafiki hatamfaa rafiki yake kwachochote, wala hawatanusuriwa.
[44.42] Isipo kuwa atakaye mrehemu Mwenyezi Mungu. HakikaYeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu.
[44.43] Hakika Mti wa Zaqqum,
[44.44] Ni chakula cha mwenye dhambi.
[44.45] Kama shaba iliyo yayushwa, hutokota matumboni
[44.46] Kama kutokota kwa maji ya moto.
[44.47] (Itasemwa:) Mkamateni na mtupeni katikati yaJahannamu!
[44.48] Kisha mmwagieni juu ya kichwa chake adhabu ya majiyanayo chemka.
[44.49] Onja! Ati wewe ndiye mwenye nguvu, mtukufu!
[44.50] Hakika haya ndiyo mliyo kuwa mkiyatilia shaka.
[44.51] Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani,
[44.52] Katika mabustani na chemchem,
[44.53] Watavaa hariri nyepesi na hariri nzitowakikabiliana,
[44.54] Hivi ndivyo itakavyo kuwa, na tutawaozamahurilaini.
[44.55] Humo watataka kila aina ya matunda, na wakae kwaamani.
[44.56] Humo hawataonja mauti ila mauti yale ya kwanza, na(Mwenyezi Mungu) atawalinda na adhabu ya Jahannamu,
[44.57] Kuwa ni fadhila zitokazo kwa Mola wako Mlezi. Hukondiko kufuzu kukubwa.
[44.58] Basi tumeifanya nyepesi hii Qur'ani kwa ulimiwako, ili wapate kukumbuka.
[44.59] Ngoja tu, na wao wangoje pia.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN