The Muslims Internet Directory
SURAT QAAF
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT QAAF
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[50.1] Qaaf. Naapa kwa Qur'ani tukufu!
[50.2] Bali wanastaajabu kwamba amewafikia mwonyaji kutokamiongoni mwao, na wakasema makafiri: Hili ni jambo laajabu!
[50.3] Ati tukifa na tukawa udongo...? Kurejea huko kukombali!
[50.4] Hakika Sisi tunajua kiasi cha kila kinacho punguzwana ardhi kutokana nao. Na kwetu kipo Kitabu kinachohifadhi yote.
[50.5] Lakini waliikanusha Haki ilipo wajia; kwa hivyowamo katika mambo ya mkorogo.
[50.6] Je! Hawaangalii mbingu zilizo juu yao! Vipi tulivyozijenga, na tukazipamba. Wala hazina nyufa.
[50.7] Na ardhi tumeitandaza na tukaiwekea milima, natukaiotesha mimea mizuri ya kila namna.
[50.8] Yawe haya ni kifumbua macho na ukumbusho kwa kilamja mwenye kuelekea.
[50.9] Na tumeteremsha kutoka mbinguni maji yaliyobarikiwa, na kwa hayo tukaotesha mabustani na nafakaza kuvunwa.
[50.10] Na mitende mirefu yenye makole yaliyo zaa kwawingi,
[50.11] Ili iwe ni riziki kwa waja wangu. Na tukaifufuakwa maji nchi iliyo kuwa imekufa. Kama hivyo ndivyoutakavyo kuwa ufufuaji.
[50.12] Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na wakaaziwa Rassi na Thamudi.
[50.13] Na A'di na Firauni na kaumu ya Lut'i.
[50.14] Na wakaazi wa Machakani, na watu wa Tubbaa'. Wotehao waliwakanusha Mitume, kwa hivyo onyo likathibitikajuu yao.
[50.15] Kwani tulichoka kwa kuumba mara ya kwanza. Baliwao wamo katika shaka tu juu ya umbo jipya.
[50.16] Na hakika tumemuumba mtu, nasi tunayajua yanayompitikia katika nafsi yake. Na Sisi tuko karibu nayekuliko mshipa wa shingoni mwake.
[50.17] Wanapo pokea wapokeaji wawili, wanao kaa kulianina kushotoni.
[50.18] Hatamki neno ila karibu yake yupo mwangalizitayari.
[50.19] Na uchungu wa kutoka roho utamjia kwa haki. Hayondiyo uliyo kuwa ukiyakimbia.
[50.20] Na litapulizwa baragumu. Hiyo ndiyo Siku ya Miadi.
[50.21] Na kila nafsi itakuja na pamoja nayo mchungaji nashahidi.
[50.22] (Aambiwe): Kwa hakika ulikuwa umeghafilika nahaya; basi leo tumekuondolea pazia lako, na kwa hivyokuona kwako leo ni kukali.
[50.23] Na mwenzake atasema: Huyu niliye naye mimi keshatayarishwa.
[50.24] Mtupeni katika Jahannamu kila kafiri mwenye inda,
[50.25] Akatazaye kheri, arukaye mipaka, mwenye kutiashaka,
[50.26] Aliye weka mungu mwengine pamoja na MwenyeziMungu. Basi mtupeni katika adhabu kali.
[50.27] Mwenzake aseme: Ee Mola wetu Mlezi! Sikumpotezamimi, bali yeye mwenyewe alikuwa katika upotovu wambali.
[50.28] (Mwenyezi Mungu) aseme: Msigombane mbele yangu.Nilikuleteeni mbele onyo langu.
[50.29] Mbele yangu haibadilishwi kauli, wala Mimisiwadhulumu waja wangu.
[50.30] Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayoitasema: Je! Kuna ziada?
[50.31] Na Pepo italetwa karibu kwa ajili ya wachamngu,haitakuwa mbali.
[50.32] Haya ndiyo mnayo ahidiwa kwa kila mwenye kurejeakwa Mwenyezi Mungu na akajilinda.
[50.33] Mwenye kumwogopa Mwingi wa Rehema hali kuwahamwoni, na akaja kwa moyo ulio elekea-
[50.34] (Ataambiwa) ingieni kwa salama. Hiyo ndiyo siku yadaima dawamu.
[50.35] Humo watapata wakitakacho, na kwetu yako ya ziada.
[50.36] Na kaumu ngapi tuliziangamiza kabla yao walio kuwana nguvu zaidi kuliko hawa! Nao walitanga tanga katikanchi nyingi. Je! Walipata pa kukimbilia?
[50.37] Hakika katika hayo upo ukumbusho kwa mwenye moyoau akatega sikio naye yupo anashuhudia.
[50.38] Na bila ya shaka Sisi tumeziumba mbingu na ardhina vilio baina yao mnamo siku sita; na walahayakutugusa machofu.
[50.39] Basi vumilia kwa hayo wasemayo, na mtakase kwakumsifu Mola wako Mlezi kabla ya kuchomoza jua nakabla ya kuchwa.
[50.40] Na katika usiku pia mtakase, na baada ya kusujudu.
[50.41] Na sikiliza siku atapo nadi mwenye kunadi kutokapahala karibu.
[50.42] Siku watakapo sikia ukelele wa haki. Hiyo ndiyosiku ya kufufuka.
[50.43] Hakika Sisi tunahuisha na tunafisha, na kwetu Sisindio marejeo.
[50.44] Siku itapo wapasukia ardhi mbio mbio! Mkusanyo huokwetu ni mwepesi.
[50.45] Sisi tunajua kabisa wayasemayo. Wala wewe simwenye kuwatawalia kwa ujabari. Basi mkumbushe kwaQur'ani anaye liogopa onyo.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN