The Muslims Internet Directory
SURAT ATT'UR
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT ATT'UR
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[52.1] Naapa kwa mlima wa T'ur,
[52.2] Na Kitabu kilicho andikwa
[52.3] Katika ngozi iliyo kunjuliwa,
[52.4] Na kwa Nyumba iliyo jengwa,
[52.5] Na kwa dari iliyo nyanyuliwa,
[52.6] Na kwa bahari iliyo jazwa,
[52.7] Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi hapana shakaitatokea.
[52.8] Hapana wa kuizuia.
[52.9] Siku zitakapo tikisika mbingu kwa mtikiso,
[52.10] Na milima iwe inakwenda kwa mwendo mkubwa.
[52.11] Basi ole wao siku hiyo hao wanao kadhibisha,
[52.12] Ambao wanacheza katika mambo ya upuuzi.
[52.13] Siku watapo sukumwa kwenye Moto kwa msukumo wanguvu,
[52.14] (Waambiwe): Huu ndio ule Moto mlio kuwamkiukanusha!
[52.15] Je! Huu ni uchawi, au hamwoni tu?
[52.16] Uingieni, mkistahamili au msistahamili - ni mamojakwenu. Hakika mnalipwa kwa mliyo kuwa mkiyatenda.
[52.17] Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani naneema,
[52.18] Wakifurahi kwa yale aliyo wapa Mola wao Mlezi. NaMola wao Mlezi atawalinda na adhabu ya Motoni.
[52.19] Kuleni na kunyweni kwa raha kabisa kwa sababu yamliyo kuwa mkiyatenda.
[52.20] Watakuwa wameegemea juu ya viti vya enzi vilivyopangwa kwa safu. Na tutawaoza mahuru-l-aini.
[52.21] Na walio amini na dhuriya zao wakawafuata kwaImani tutawakutanisha nao dhuriya zao, na walahatutawapunja hata kidogo katika vitendo vyao. Kilamtu lazima atapata alicho kichuma.
[52.22] Na tutawapa matunda, na nyama kama watavyo penda.
[52.23] Watapeana humo bilauri zisio na vinywaji vyakuleta maneno ya upuuzi wala dhambi.
[52.24] Iwe wanawapitia watumishi wao kama kwamba ni luluzilizomo katika chaza.
[52.25] Wataelekeana wakiulizana.
[52.26] Waseme: Tulikuwa zamani pamoja na ahali zetutukiogopa;
[52.27] Basi Mwenyezi Mungu akatufanyia hisani naakatulinda na adhabu ya upepo wa Moto.
[52.28] Hakika sisi zamani tulikuwa tukimwomba Yeye tu.Hakika Yeye ndiye Mwema Mwenye kurehemu.
[52.29] Basi kumbusha! Kwani wewe, kwa neema ya Mola wakoMlezi, si kuhani wala mwendawazimu.
[52.30] Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajiakupatilizwa na dahari.
[52.31] Sema: Tarajieni, na mimi pia ni pamoja nanyikatika kutarajia.
[52.32] Au hizo akili zao ndio zinawaamrisha haya, au waobasi ni watu majeuri tu?
[52.33] Au ndio wanasema: Ameitunga hii! Bali basi tuhawaamini!
[52.34] Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa waowanasema kweli.
[52.35] Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote,au ni wao ndio waumbaji?
[52.36] Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana nayakini.
[52.37] Au wanazo khazina za Mola wako Mlezi au wao ndiowenye madaraka?
[52.38] Au wanazo ngazi za kusikilizia? Basi huyomsikilizaji wao na alete hoja ilio wazi!
[52.39] Au Yeye Mwenyezi Mungu ana wasichana, na nyinyindio mna wavulana?
[52.40] Au wewe unawaomba ujira, na kwa hivyo ndiowanaelemewa na uzito wa gharama?
[52.41] Au wanayo ilimu ya ghaibu, nao wameandika?
[52.42] Au wanataka kufanya vitimbi tu? Lakini hao waliokufuru ndio watakao tegeka.
[52.43] Au wanae mungu asiye kuwa Mwenyezi Mungu?Subhanallah! Ametaksika Mwenyezi Mungu na hao wanaowashirikisha naye.
[52.44] Na hata wange ona pande linatoka mbingunilinaanguka wange sema: Ni mawingu yaliyo bebana.
[52.45] Basi waache mpaka wakutane na siku yao watakapohilikishwa.
[52.46] Siku ambayo hila zao hazitawafaa hata kidogo, walawao hawatanusuriwa.
[52.47] Na hakika walio dhulumu watapata adhabu nyengineisiyo kuwa hii, lakini wengi wao hawajui.
[52.48] Na ingojee hukumu ya Mola wako Mlezi. Kwani wewehakika uko mbele ya macho yetu, na mtakase kwa kumsifuMola wako Mlezi unapo simama,
[52.49] Na usiku pia mtakase, na zinapo kuchwa nyota.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN