The Muslims Internet Directory
SURAT AL-QAMAR
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-QAMAR
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[54.1] Saa imekaribia, na mwezi umepasuka!
[54.2] Na wakiona Ishara hugeuka upande na husema: Huuuchawi tu unazidi kuendelea.
[54.3] Na wamekanusha na wamefuata matamanio yao. Na kilajambo ni lenye kuthibiti.
[54.4] Na bila ya shaka zimewajia khabari zenye makaripio.
[54.5] Hikima kaamili; lakini maonyo hayafai kitu!
[54.6] Basi jiepushe nao. Siku atakapo ita mwitajikuliendea jambo linalo chusha;
[54.7] Macho yao yatainama; watatoka makaburini kama nzigewalio tawanyika,
[54.8] Wanamkimbilia mwitaji, na makafiri wanasema: Hii nisiku ngumu.
[54.9] Kabla yao kaumu ya Nuhu walikanusha; wakamkanushamja wetu, na wakasema ni mwendawazimu, na akakaripiwa.
[54.10] Basi akamwomba Mola wake Mlezi akasema: Kwa hakikamimi nimeshindwa, basi ninusuru!
[54.11] Basi tukaifungua milango ya mbingu kwa maji yanayomiminika.
[54.12] Na tukazipasua ardhi kwa chemchem, yakakutana majikwa jambo lilio kadiriwa.
[54.13] Na tukamchukua kwenye safina ya mbao na kamba.
[54.14]Ikawa inakwenda kwa nadhari yetu, kuwa ni malipokwa alivyo kuwa amekanushwa.
[54.15] Na bila ya shaka tuliiacha iwe ni Ishara. Lakinije, yupo anaye kumbuka?
[54.16] Basi ilikuwaje adhabu yangu, na maonyo yangu.
[54.17] Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwenyepesi kufahamika. Lakini yupo anaye kumbuka?
[54.18] Kina A'di walikanusha. Basi ilikuwaje adhabu yanguna maonyo yangu?
[54.19] Hakika Sisi tuliwapelekea upepo wa kimbunga katikasiku korofi mfululizo,
[54.20] Ukiwang'oa watu kama vigogo vya mitende viliong'olewa.
[54.21] Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu?
[54.22] Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani nyepesikufahamika; lakini yupo anaye kumbuka?
[54.23] Thamudi waliwakanusha Waonyaji.
[54.24] Wakasema: Ati tumfuate binaadamu mmoja katikasisi? Basi hivyo sisi tutakuwa katika upotofu nakichaa!
[54.25] Ni yeye tu aliye teremshiwa huo ukumbusho katiyetu sote? Bali huyu ni mwongo mwenye kiburi!
[54.26] Kesho watajua ni nani huyo mwongo mwenye kiburi.
[54.27] Hakika Sisi tutawapelekea ngamia jike ilikuwajaribu, basi watazame tu na ustahamili.
[54.28] Na waambie kwamba maji yatagawanywa baina yao;kila sehemu ya maji itahudhuriwa na aliye khusika.
[54.29] Basi wakamwita mtu wao akaja akamchinja.
[54.30] Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu!
[54.31] Hakika Sisi tuliwapelekea ukelele mmoja tu, wakawakama mabuwa ya kujengea uwa.
[54.32] Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwenyepesi kwa kukumbuka, lakini yupo akumbukaye?
[54.33] Kaumu Lut'i nao waliwakadhibisha Waonyaji.
[54.34] Hakika Sisi tukawapelekea kimbunga cha vijiwe,isipo kuwa wafuasi wa Lut'i. Hao tuliwaokoa karibu naalfajiri.
[54.35] Kwa neema inayo toka kwetu. Hivyo ndivyotumlipavyo anaye shukuru.
[54.36] Na hakika yeye aliwaonya adhabu yetu; lakini waowaliyatilia shaka hayo maonyo.
[54.37] Na walimtaka awape wageni wake. Tukayapofua machoyao, na tukawaambia: Onjeni basi adhabu na maonyoyangu!
[54.38] Na iliwafikia wakati wa asubuhi adhabu yangu yakuendelea.
[54.39] Basi onjeni adhabu na maonyo yangu!
[54.40] Na hakika tumeisahilisha Qur'ani kuikumbuka.Lakini yupo anaye kumbuka?
[54.41] Na Waonyaji waliwafikia watu wa Firauni.
[54.42] Walizikadhibisha Ishara zetu zote, nasitukawashika kama anavyo shika Mwenye nguvu Mwenyeuweza.
[54.43] Je! Makafiri wenu ni bora kuliko hao, auyameandikwa vitabuni kuwa nyinyi hamtiwi makosani?
[54.44] Au ndio wanasema: Sisi ni wengi tutashinda tu.
[54.45] Wingi wao huu utashindwa, na wao watasukumwanyuma.
[54.46] Bali Saa ya Kiyama ndio miadi yao, na Saa hiyo ninzito zaidi na chungu zaidi.
[54.47] Hakika wakosefu wamo katika upotofu na wazimu.
[54.48] Siku watakapo kokotwa Motoni kifudifudi waambiwe:Onjeni mguso wa Jahannamu!
[54.49] Kwa hakika Sisi tumekiumba kila kitu kwa kipimo.
[54.50] Na amri yetu haikuwa ila ni moja tu, kama kupepesajicho.
[54.51] Na bila ya shaka tumekwisha waangamiza wenzenu.Lakini yupo anaye kumbuka?
[54.52] Na kila jambo walilo lifanya limo vitabuni.
[54.53] Na kila kidogo na kikubwa kimeandikwa.
[54.54] Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani namito.
[54.55] Katika makalio ya haki kwa Mfalme Mwenye uweza.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN