The Muslims Internet Directory
SURAT AL-MUNAAFIQUN
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-MUNAAFIQUN
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[63.1] Wanapo kujia wanaafiki husema: Tunashuhudia ya kuwawewe ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Munguanajua kuwa wewe ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu anashuhudia ya kuwa hakika wanaafiki niwaongo.
[63.2] Wamevifanya viapo vyao ni kinga, na wao wakajizuiakuifuata Njia ya Mwenyezi Mungu. Hakika ni mabayakabisa waliyo kuwa wakiyafanya.
[63.3] Hayo ni kwa sababu ya kuwa waliamini, kishawakakufuru; kwa hivyo umepigwa muhuri juu ya nyoyozao. Kwa hivyo hawafahamu lolote.
[63.4] Na unapo waona, miili yao inakupendeza, nawakisema, unasikiliza usemi wao. Lakini wao ni kamamagogo yaliyo egemezwa. Wao hudhania kila ukelele unaopigwa ni kwa ajili yao. Hao ni maadui; tahadhari nao.Mwenyezi Mungu awaangamizilie mbali! Vipi wanapotokana haki?
[63.5] Na wanapo ambiwa: Njooni ili Mtume wa MwenyeziMungu akuombeeni maghfira, huvigeuza vichwa vyao, naunawaona wanageuka nao wamejaa kiburi.
[63.6] Sawa sawa kwao, ukiwatakia maghfira au hukuwatakiamaghfira, Mwenyezi Mungu hatawaghufiria. HakikaMwenyezi Mungu hawaongoi watu wapotovu.
[63.7] Hao ndio wanao sema: Msitoe mali kwa ajili yawalioko kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu, ili waondokeleembali! Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye khazina zambingu na ardhi, lakini wanaafiki hawafahamu.
[63.8] Wanasema: Tukirejea Madina mwenye utukufu zaidibila ya shaka atamfukuza aliye mnyonge. Na MwenyeziMungu ndiye Mwenye utukufu - Yeye, na Mtume wake, na Waumini. Lakini wanaafiki hawajui.
[63.9] Enyi mlio amini! Yasikusahaulisheni mali yenu, walawatoto wenu, kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Na wenyekufanya hayo ndio walio khasiri.
[63.10] Na toeni katika tulicho kupeni kabla hayajamfikiammoja wenu mauti, tena hapo akasema: Mola wangu Mlezi!Huniakhirishi muda kidogo nipate kutoa sadaka, na niwe katika watu wema?
[63.11] Wala Mwenyezi Mungu hataiakhirisha nafsi yoyoteinapo fika ajali yake; na Mwenyezi Mungu anazo khabariza mnayo yatenda.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN