The Muslims Internet Directory
SURAT ATTAGHAABUN
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT ATTAGHAABUN
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[64.1] Kinamtakasa Mwenyezi Mungu kila kilichomo katikambingu na katika ardhi. Ufalme ni wake, na sifa njemani zake. Na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
[64.2] Yeye ndiye aliye kuumbeni. Miongoni mwenu yupoaliye kafiri, na yupo aliye Muumini. Na Mwenyezi Munguanayaona mnayo yatenda.
[64.3] Ameziumba mbingu na ardhi kwa haki, na akakupenisura, na akazifanya nzuri sura zenu. Na marudio nikwake.
[64.4] Anajua viliomo katika mbingu na ardhi, na anajuamnayo yaficha na mnayo yatangaza. Na Mwenyezi Mungu niMjuzi wa yaliomo vifuani.
[64.5] Kwani haikukujieni khabari ya walio kufuru kabla,wakaonja matokeo mabaya ya mambo yao? Na wao wanaadhabu iliyo chungu.
[64.6] Hayo ni kwa kuwa walikuwa wakiwajia Mitume wao kwahoja zilizo wazi, nao wakasema: Hivyo binaadamu ndioatuongoe? Basi wakakufuru, na wakageuka upande. Mwenyezi Mungu akawa hana haja nao. Na Mwenyezi Munguni Mkwasi, si mhitaji, naye ni Msifiwa.
[64.7] Walio kufuru wanadai kuwa hawatafufuliwa. Sema:Kwani? Naapa kwa Mola wangu Mlezi! Hapana shakamtafufuliwa, na kisha hapana shaka mtaambiwa mliyoyatenda. Na hayo ni mepesi kwa Mwenyezi Mungu.
[64.8] Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, naNuru tuliyo iteremsha. Na Mwenyezi Mungu anazo khabariza mnayo yatenda.
[64.9] Siku atakayo kukusanyeni kwa ajili ya Siku yaMkusanyiko; hiyo ni siku ya kupunjana. Na anayemuamini Mwenyezi Mungu na akatenda mema, atamfutiamaovu yake, na atamuingiza katika Mabustani yenyekupitiwa kati yake na mito, watadumu humo milele. Hukondiko kufuzu kukubwa.
[64.10] Na walio kufuru na wakakadhibisha Ishara zetu, haoni watu wa Motoni, watadumu humo milele. Na hayo ndiyomarudio mabaya.
[64.11] Haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya MwenyeziMungu. Na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu huuongoamoyo wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu.
[64.12] Na mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume.Mkigeuka, basi hakika juu ya Mtume wetu ni kufikisha(Ujumbe wake) kwa uwazi tu.
[64.13] Mwenyezi Mungu, hapana mungu isipo kuwa Yeye. Najuu ya Mwenyezi Mungu nawategemee Waumini.
[64.14] Enyi mlio amini! Hakika miongoni mwa wake zenu nawatoto wenu wamo maadui zenu. Basi tahadharini nao. Namkisamehe, na mkapuuza, na mkaghufiria basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira, Mwenyekurehemu.
[64.15] Hakika mali yenu na watoto wenu ni jaribio. Na kwaMwenyezi Mungu upo ujira mkubwa.
[64.16] Basi mcheni Mwenyezi Mungu kama mwezavyo, nasikieni, na t'iini, na toeni, itakuwa kheri kwa nafsizenu. Na mwenye kuepushwa na uchoyo wa nafsi yake,basi hao ndio walio fanikiwa.
[64.17] Mkimkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mzuri,atakuzidishieni mardufu, na atakusameheni. Na MwenyeziMungu ni Mwingi wa shukra, Mpole.
[64.18] Mwenye kujua siri na dhaahiri, Mwenye nguvu,Mwenye hikima.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN