The Muslims Internet Directory
SURAT AL-MULK
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-MULK
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[67.1] AMETUKUKA ambaye mkononi mwake umo Ufalme wote; naYeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
[67.2] Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ninani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. NaYeye ni Mwenye nguvu na Mwenye msamaha.
[67.3] Aliye umba mbingu saba kwa matabaka. Huoni tafautiyoyote katika uumbaji wa Mwingi wa Rehema. Heburudisha nadhari! Unaona kosa lolote?
[67.4] Tena rudisha nadhari mara mbili, nadhari yakoitakurejea mwenyewe hali ya kuwa imehizika nayoimechoka.
[67.5] Na kwa hakika tumeipamba mbingu ya karibu kwamataa, na tumeyafanya ili kuwapigia mashetani, natumewaandalia adhabu ya Moto uwakao kwa nguvu.
[67.6] Na kwa walio mkufuru Mola wao Mlezi ipo adhabu yaJahannamu. Na ni marejeo maovu yalioje hayo!
[67.7] Watakapo tupwa humo watausikia mngurumo wake nahuku inafoka.
[67.8] Inakaribia kupasuka kwa hasira. Kila mara likitupwakundi humo walinzi wake huwauliza: Kwani hakukujienimwonyaji?
[67.9] Watasema: Kwani! Ametujia mwonyaji, lakinitulimkadhibisha, na tukasema: Mwenyezi Munguhakuteremsha chochote. Nyinyi hamumo ila katikaupotovu mkubwa!
[67.10] Na watasema: Lau kuwa tungeli sikia, au tungelikuwa na akili, tusingeli kuwa katika watu wa Motoni!
[67.11] Wakakiri dhambi zao. Basi kuangamia ni kwa watu waMotoni!
[67.12] Hakika wanao mwogopa Mola wao Mlezi kwa ghaibu,watapata maghfira na ujira mkubwa.
[67.13] Na ficheni kauli zenu, au zitangazeni; hakika Yeyeni Mjuzi wa yaliyomo vifuani.
[67.14] Asijue aliye umba, naye ndiye Mjua siri, Mwenyekhabari?
[67.15] Yeye ndiye aliye idhalilisha ardhi kwa faida yenu,basi tembeeni katika pande zake, na kuleni katikariziki zake. Na kwake Yeye ndio kufufuliwa.
[67.16] Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwahatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyoinatikisika!
[67.17] Au mnadhani mko salama kwa alioko juu ya kuwa Yeyehakupelekeeni kimbunga chenye changarawe? Mtajua vipimaonyo yangu?
[67.18] Na bila ya shaka walikwisha kanusha walio kuwakabla yao; basi kulikuwaje kukasirika kwangu?
[67.19] Kwani hawawaoni ndege walioko juu yao namnawanavyo zikunjua mbawa zao, na kuzikunja?Hawawashikilii ila Mwingi wa rehema. Hakika Yeye niMwenye kuona kila kitu.
[67.20] Au ni lipi hilo jeshi lenu la kukunusuruni badalaya Mwingi wa Rehema? Hakika makafiri hawamo ila katikaudanganyifu.
[67.21] Au ni nani huyo ambaye atakupeni riziki kama Yeyeakizuia riziki yake? Bali wao wanakakamia tu katikajeuri na chuki.
[67.22] Je! Anaye kwenda akisinukia juu ya uso wake nimwongofu zaidi, au yule anaye kwenda sawasawa katikaNjia Iliyo Nyooka?
[67.23] Sema: Yeye ndiye aliye kuumbeni tangu mwanzo, naakakupeni masikio na macho, na nyoyo. Ni kidogo kabisashukrani zenu.
[67.24] Sema: Yeye ndiye aliye kutawanyeni katika ardhi,na kwake mtakusanywa.
[67.25] Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli?
[67.26] Sema: Hakika ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu; nahakika mimi ni mwonyaji tu mwenye kubainisha.
[67.27] Lakini watakapo iona karibu, nyuso za walio kufuruzitahuzunishwa, na itasemwa: Hayo ndiyo mliyo kuwamkiyaomba.
[67.28] Sema: Mwaonaje, ikiwa Mwenyezi Mungu atanihilikimimi na walio pamoja nami, au akiturehemu, ni naniatakaye walinda makafiri na adhabu chungu?
[67.29] Sema: Yeye ndiye Mwingi wa Rehema; tunamuaminiYeye, na juu yake tunategemea. Mtakuja jua ni nanialiye katika upotovu ulio dhaahiri.
[67.30] Sema: Mwaonaje, yakiwa maji yenu yamedidimiachini, nani atakueleteeni maji yanayo miminika?
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN