The Muslims Internet Directory
SURAT AL-QALAM
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-QALAM
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[68.1] Nuun. Naapa kwa kalamu na yale wayaandikayo,
[68.2] Kwa neema ya Mola wako Mlezi wewe si mwendawazimu.
[68.3] Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika.
[68.4] Na hakika wewe una tabia tukufu.
[68.5] Karibu utaona, na wao wataona,
[68.6] Ni nani kati yenu aliye pandwa na wazimu.
[68.7] Hakika Mola wako Mlezi ndiye Yeye ajuaye zaidi nanialiye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajuazaidi walio ongoka.
[68.8] Basi usiwat'ii wanao kadhibisha.
[68.9] Wanatamani lau unge lainisha ili nao wakulainishie.
[68.10] Wala usimt'ii kila mwingi wa kuapa wakudharauliwa,
[68.11] Mtapitapi, apitaye akifitini,
[68.12] Mwenye kuzuia kheri, dhaalimu, mwingi wa madhambi,
[68.13] Mkavu, na juu ya hayo, mshari, amejipachika tu.
[68.14] Ati kwa kuwa ana mali na watoto!
[68.15] Anapo somewa Aya zetu, husema: Hizi ni simulizi zauwongo za watu wa zamani!
[68.16] Tutamtia kovu juu ya pua yake.
[68.17] Hakika tumewajaribu hawa kama tulivyo wajaribuwale wenye shamba, walipo apa kwamba watayavuna mazaoyake itakapo kuwa asubuhi.
[68.18] Wala hawakusema: Mungu akipenda!
[68.19] Basi lilitokea tukio juu yake kutoka kwa Mola wakoMlezi, nao wamelala!
[68.20] Likawa kama usiku wa giza.
[68.21] Asubuhi wakaitana.
[68.22] Ya kwamba nendeni kondeni mwenu ikiwa mnatakakuvuna.
[68.23] Basi walikwenda na huku wakinong'onezana,
[68.24] Ya kuwa leo hata masikini mmoja asikuingilieni.
[68.25] Na walikwenda asubuhi, nao wameshikilia azimiohilo.
[68.26] Basi walipo liona, wakasema: Hakika tumepotea!
[68.27] Bali tumenyimwa!
[68.28] Mbora wao akasema: Sikukwambieni, kwa ninihamumtakasi Mwenyezi Mungu?
[68.29] Wakasema: Ametakasika Mola wetu Mlezi! Hakika sisitulikuwa wenye kudhulumu.
[68.30] Basi wakakabiliana kulaumiana wao kwa wao.
[68.31] Wakasema: Ole wetu! Tulikuwa tumeikiuka mipaka!
[68.32] Asaa Mola wetu Mlezi akatubadilishia lilio borakuliko hili. Hakika sisi ni wenye kurejea kwa Molawetu Mlezi.
[68.33] Namna hivi yanakuwa mateso, na bila ya shakamateso ya Akhera ni makubwa zaidi, laiti wangeli jua!
[68.34] Hakika wachamngu watakuwa na Bustani za neema kwaMola wao Mlezi.
[68.35] Kwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu?
[68.36] Mna nini? Mnahukumu vipi?
[68.37] Au mnacho kitabu ambacho ndani yake mnasoma?
[68.38] Kuwa mtapata humo mnayo yapenda?
[68.39] Au mnazo ahadi za viapo juu yetu za kufika Siku yaKiyama ya kuwa hakika mtapata kila mnayo jihukumia?
[68.40] Waulize: Ni nani miongoni mwao dhamini wa haya?
[68.41] Au wanao washirika? Basi wawalete washirika waowakiwa wanasema kweli.
[68.42] Siku utakapo wekwa wazi mundi, na wataitwakusujudu, lakini hawataweza,
[68.43] Macho yao yatainama chini, fedheha itawafunika. Nahakika walikuwa wakiitwa wasujudu walipo kuwa wazima -
[68.44] Basi niache na wanao kadhibisha maneno haya!Tutawavutia kidogo kidogo kwa mahali wasipo pajua.
[68.45] Na ninawapururia muhula; hakika hila zangu niimara.
[68.46] Au unawaomba ujira, na wao wanaemewa na gharamahiyo?
[68.47] Au iko kwao siri, basi wao wanaiandika?
[68.48] Basi ingojee hukumu ya Mola wako Mlezi, wala usiwekama mmezwa na samaki, alipo nadi naye kazongwa.
[68.49] Kama isingeli mfikia neema kutoka kwa Mola wakeMlezi, bila ya shaka angeli tupwa ufukweni naye nimwenye kulaumiwa.
[68.50] Lakini Mola wake Mlezi alimteua na akamfanyamiongoni mwa watu wema.
[68.51] Na walio kufuru hukaribia kukutelezesha kwa machoyao, wanapo sikia mawaidha, na wanasema: Hakika yeyeni mwendawazimu.
[68.52] Na hayakuwa haya, ila ni ukumbusho kwa walimwenguwote.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN