The Muslims Internet Directory
SURAT AL-H'AAQQAH
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-H'AAQQAH
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[69.1] Tukio la haki.
[69.2] Nini hilo Tukio la haki?
[69.3] Na nini kitakujuulisha nini hilo Tukio la haki?
[69.4] Thamudi na A'di waliukadhibisha Msiba unao situsha.
[69.5] Basi Thamudi waliangamizwa kwa balaa kubwa mno.
[69.6] Na ama A'di waliangamizwa kwa upepo mkali usiozuilika.
[69.7] Alio wapelekea masiku saba, na siku nane, mfululizobila ya kusita. Utaona watu wamepinduka kama kwamba nimagongo ya mitende yalio wazi ndani.
[69.8] Basi je! Unamwona mmoja wao aliye baki?
[69.9] Na Firauni na walio mtangulia, na miji iliyopinduliwa chini juu, walileta khatia.
[69.10] Wakamuasi Mtume wa Mola wao Mlezi, ndipo Yeye Molaakawakamata kwa mkamato ulio zidi nguvu.
[69.11] Maji yalipo furika Sisi tulikupandisheni katikasafina,
[69.12] Ili tuyafanye hayo kuwa ni waadhi kwenu na kilasikio linalo sikia liyahifadhi.
[69.13] Na litapo pulizwa barugumu mpulizo mmoja tu,
[69.14] Na ardhi na milima ikaondolewa, na ikavunjwa kwamvunjo mmoja,
[69.15] Siku hiyo ndio Tukio litatukia.
[69.16] Na mbingu zitapasuka, kwani siku hiyo zitakuwadhaifu kabisa.
[69.17] Na Malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu; nawanane juu ya hawa watakuwa wamebeba Kiti cha Enzi chaMola wako Mlezi.
[69.18] Siku hiyo mtahudhurishwa - haitafichika siriyoyote yenu.
[69.19] Basi ama atakaye pewa kitabu chake kwa mkono wakewa kulia, atasema: Haya someni kitabu changu!
[69.20] Hakika nalijua ya kuwa nitapokea hisabu yangu.
[69.21] Basi yeye atakuwa katika maisha ya kupendeza,
[69.22] Katika Bustani ya juu,
[69.23] Matunda yake yakaribu.
[69.24] Waambiwe: Kuleni na mnywe kwa furaha kwa sababu yamlivyo tanguliza katika siku zilizo pita.
[69.25] Na ama atakaye pewa kitabu chake katika mkono wakewa kushoto, basi yeye atasema: Laiti nisingeli pewakitabu changu!
[69.26] Wala nisingeli jua nini hisabu yangu.
[69.27] Laiti mauti ndiyo yangeli kuwa ya kunimalizakabisa.
[69.28] Mali yangu hayakunifaa kitu.
[69.29] Madaraka yangu yamenipotea.
[69.30] (Pasemwe): Mshikeni! Mtieni pingu!
[69.31] Kisha mtupeni Motoni!
[69.32] Tena mtatizeni katika mnyororo wenye urefu wadhiraa sabiini!
[69.33] Kwani huyo hakika alikuwa hamuamini Mwenyezi MunguMtukufu,
[69.34] Wala hahimizi kulisha masikini.
[69.35] Basi leo hapa hana jamaa wa kumwonea uchungu,
[69.36] Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni.
[69.37] Chakula hicho hawakili ila wakosefu.
[69.38] Basi naapa kwa mnavyo viona,
[69.39] Na msivyo viona,
[69.40] Kwa hakika hii ni kauli iliyo letwa na Mjumbemwenye hishima.
[69.41] Wala si kauli ya mtunga mashairi. Ni machache sanamnayo yaamini.
[69.42] Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayoyakumbuka.
[69.43] Ni uteremsho utokao kwa Mola Mlezi wa walimwenguwote.
[69.44] Na lau kama angeli tuzulia baadhi ya maneno tu,
[69.45] Bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia,
[69.46] Kisha kwa hakika tungeli mkata mshipa mkubwa wamoyo!
[69.47] Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli wezakutuzuia.
[69.48] Kwa hakika hii ni mawaidha kwa wachamngu.
[69.49] Na hakika Sisi bila ya shaka tunajua kwambamiongoni mwenu wapo wanao kadhibisha.
[69.50] Na hakika bila ya shaka itakuwa ni majuto kwawanao kataa.
[69.51] Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini.
[69.52] Basi litakase jina la Mola wako Mlezi Mtukufu.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN