The Muslims Internet Directory
SURAT AL-JINN
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-JINN
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[72.1] Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja lamajini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisitumeisikia Qur'ani ya ajabu!
[72.2] Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini,wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.
[72.3] Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukukakabisa; hana mke wala mwana.
[72.4] Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwawakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya MwenyeziMungu.
[72.5] Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzuliiuwongo Mwenyezi Mungu.
[72.6] Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwawakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyowakawazidisha madhambi.
[72.7] Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhaninyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume.
[72.8] Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaawalinzi wenye nguvu na vimondo.
[72.9] Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi yamakao ili kusikiliza; lakini sasa anaye takakusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
[72.10] Nasi hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaakwenye ardhi au Mola wao Mlezi anawatakia uwongofu.
[72.11] Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wenginewetu ni kinyume na hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali.
[72.12] Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Munguduniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.
[72.13] Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basimwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwawala kudhulumiwa.
[72.14] Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo katiyetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndiowalio tafuta uwongofu.
[72.15] Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni zaJahannamu.
[72.16] Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njiatungeli wanywesha maji kwa wingi,
[72.17] Ili tuwajaribu kwa hayo. Na anaye puuza kumkumbukaMola wake Mlezi atamsukuma kwenye adhabu ngumu.
[72.18] Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu, basimsimuabudu yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu.
[72.19] Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simamakumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!
[72.20] Sema: Hakika mimi namwomba Mola wangu Mlezi, walasimshirikishi Yeye na yeyote.
[72.21] Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni walakukuongozeni.
[72.22] Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda naMwenyezi Mungu, wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwakwake Yeye tu.
[72.23] Ila nifikishe Ujumbe utokao kwa Mwenyezi Mungu narisala zake. Na wenye kumuasi Mwenyezi Mungu na Mtumewake, basi hakika hao watapata Moto wa Jahannamu wadumu humo milele.
[72.24] Hata watakapo yaona wanayo ahidiwa, ndipo watakapojua ni nani mwenye msaidizi dhaifu, na mchache waidadi.
[72.25] Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa,au Mola wangu Mlezi atayawekea muda mrefu.
[72.26] Yeye ndiye Mwenye kujua ya siri, walahamdhihirishii yeyote siri yake,
[72.27] Isipo kuwa Mtume wake aliye mridhia. Naye huyohumwekea walinzi mbele yake na nyuma yake.
[72.28] Ili Yeye ajue kwamba wao wamefikisha ujumbe waMola wao Mlezi, na Yeye anayajua vyema yote walionayo, na amedhibiti idadi ya kila kitu.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN