The Muslims Internet Directory
SURAT AL-QIYAMAH
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-QIYAMAH
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[75.1] Ninaapa kwa Siku ya Kiyama!
[75.2] Na ninaapa kwa nafsi inayo jilaumu!
[75.3] Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake?
[75.4] Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa nchaza vidole vyake!
[75.5] Lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa sikuzilioko mbele yake.
[75.6] Anauliza: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama?
[75.7] Basi jicho litapo dawaa,
[75.8] Na mwezi utapo patwa,
[75.9] Na likakusanywa jua na mwezi,
[75.10] Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio?
[75.11] La! Hapana pa kukimbilia!
[75.12] Siku hiyo pa kutua ni kwa Mola wako Mlezi tu.
[75.13] Siku hiyo ataambiwa aliyo yatanguliza na aliyoyaakhirisha.
[75.14] Bali mtu ni hoja juu ya nafsi yake.
[75.15] Na ingawa atatoa chungu ya udhuru.
[75.16] Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyiaharaka.
[75.17] Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
[75.18] Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake.
[75.19] Kisha ni juu yetu kuubainisha.
[75.20] Hasha! Bali nyinyi mnapenda maisha ya duniani,
[75.21] Na mnaacha maisha ya Akhera.
[75.22] Zipo nyuso siku hiyo zitao ng'ara,
[75.23] Zinamwangallia Mola wao Mlezi.
[75.24] Na zipo nyuso siku hiyo zitakao kunjana.
[75.25] Zitajua ya kuwa zitafikiwa na livunjalo uti wamgongo.
[75.26] La, hasha! (Roho) itakapo fikia kwenye mafupa yakoo,
[75.27] Na pakasemwa: Nani wa kumganga?
[75.28] Na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko ndikokufariki;
[75.29] Na utapo ambatishwa muundi kwa muundi,
[75.30] Siku hiyo ndiyo kuchungwa kupelekwa kwa Mola wakoMlezi!
[75.31] Kwa sababu hakusadiki, wala hakusali.
[75.32] Bali alikanusha, na akageuka.
[75.33] Kisha akenda kwa ahali zake kwa matao.
[75.34] Ole wako, ole wako!
[75.35] Kisha Ole wako, ole wako!
[75.36] Ati anadhani binaadamu kuwa ataachwa bure?
[75.37] Kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa?
[75.38] Kisha akawa kidonge cha damu, tena Mwenyezi Munguakamuumba na akamtengeneza vilivyo.
[75.39] Kisha akamfanya namna mbili, mwanamume namwanamke.
[75.40] Je! Huyo hakuwa ni Muweza wa kufufua wafu?
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN