The Muslims Internet Directory
SURAT ATTAKWIR
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT ATTAKWIR
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[81.1] Jua litakapo kunjwa,
[81.2] Na nyota zikazimwa,
[81.3] Na milima ikaondolewa,
[81.4] Na ngamia wenye mimba pevu watakapo achwawasishughulikiwe,
[81.5] Na wanyama wa mwituni wakakusanywa,
[81.6] Na bahari zikawaka moto,
[81.7] Na nafsi zikaunganishwa,
[81.8] Na msichana aliye zikwa hai atapo ulizwa,
[81.9] Kwa kosa gani aliuliwa?
[81.10] Na madaftari yatakapo enezwa,
[81.11] Na mbingu itapo tanduliwa,
[81.12] Na Jahannamu itapo chochewa,
[81.13] Na Pepo ikasogezwa,
[81.14] Kila nafsi itajua ilicho kihudhurisha.
[81.15] Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma,
[81.16] Zinazo kwenda, kisha zikajificha,
[81.17] Na kwa usiku unapo pungua,
[81.18] Na kwa asubuhi inapo pambazuka,
[81.19] Kwamba hakika bila ya shaka hii ni kauli ya Mjumbemtukufu,
[81.20] Mwenye nguvu na mwenye cheo kwa huyo Mwenye Kiticha Enzi,
[81.21] Anaye t'iiwa, tena muaminifu.
[81.22] Na wala huyu mwenzenu hana wazimu.
[81.23] Na hakika yeye alimwona kwenye upeo wa macho uliosafi.
[81.24] Wala yeye si bakhili kwa mambo ya ghaibu.
[81.25] Wala hii si kauli ya Shetani maluuni.
[81.26] Basi mnakwenda wapi?
[81.27] Haikuwa hii ila ni ukumbusho kwa walimwengu wote.
[81.28] Kwa yule miongoni mwenu anaye taka kwenda sawa.
[81.29] Wala nyinyi hamtataka isipo kuwa atake MwenyeziMungu Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN