The Muslims Internet Directory
SURAT AL-INFIT'AAR
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-INFIT'AAR
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[82.1] Mbingu itapo chanika,
[82.2] Na nyota zitapo tawanyika,
[82.3] Na bahari zitakapo pasuliwa,
[82.4] Na makaburi yatapo fukuliwa,
[82.5] Hapo kila nafsi itajua ilicho tanguliza, na ilichobakisha nyuma.
[82.6] Ewe mwanaadamu! Nini kilicho kughuri ukamwacha Molawako Mlezi Mtukufu?
[82.7] Aliye kuumba, akakuweka sawa, akakunyoosha,
[82.8] Katika sura yoyote aliyo ipenda akakujenga.
[82.9] Sivyo hivyo! Bali nyinyi mnaikanusha Siku yaMalipo.
[82.10] Na hakika bila ya shaka wapo walinzi juu yenu,
[82.11] Waandishi wenye hishima,
[82.12] Wanayajua mnayo yatenda.
[82.13] Hakika wema bila ya shaka watakuwa katika neema,
[82.14] Na hakika waovu bila ya shaka watakuwa Motoni;
[82.15] Wataingia humo Siku ya Malipo.
[82.16] Na hawatoacha kuwamo humo.
[82.17] Na nini kitakacho kujuulisha Siku ya Malipo nisiku gani?
[82.18] Tena nini kitakacho kujuulisha Siku ya Malipo nisiku gani?
[82.19] Siku ambayo nafsi haitakuwa na madaraka yoyote juuya nafsi; na amri yote siku hiyo ni ya Mwenyezi Mungutu.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN