The Muslims Internet Directory
SURAT AL-GHAASHIYAH
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-GHAASHIYAH
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[88.1] Je! Imekufikia khabari ya msiba wa kufudikiza?
[88.2] Siku hiyo nyuso zitainama,
[88.3] Zikifanya kazi, nazo taabani.
[88.4] Ziingie katika Moto unao waka -
[88.5] Zikinyweshwa kutoka chemchem inayo chemka.
[88.6] Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenyemiba.
[88.7] Hakinenepeshi wala hakiondoi njaa.
[88.8] Siku hiyo nyuso nyengine zitakuwa kunjufu.
[88.9] Zitakuwa radhi kwa juhudi yao,
[88.10] Katika Bustani ya juu.
[88.11] Hawatasikia humo upuuzi.
[88.12] Humo imo chemchem inayo miminika.
[88.13] Humo vimo viti vilivyo nyanyuliwa,
[88.14] Na bilauri zilizo pangwa,
[88.15] Na matakia safu safu,
[88.16] Na mazulia yaliyo tandikwa.
[88.17] Je! Hawamtazami ngamia jinsi alivyo umbwa?
[88.18] Na mbingu jinsi ilivyo inuliwa?
[88.19] Na milima jinsi ilivyo thibitishwa?
[88.20] Na ardhi jinsi ilivyo tandazwa?
[88.21] Basi kumbusha! Hakika wewe ni Mkumbushaji.
[88.22] Wewe si mwenye kuwatawalia.
[88.23] Lakini anaye rudi nyuma na kukataa,
[88.24] Basi Mwenyezi Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyokubwa kabisa!
[88.25] Hakika ni kwetu Sisi ndio marejeo yao.
[88.26] Kisha hakika ni juu yetu Sisi hisabu yao!
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN