The Muslims Internet Directory
SURAT ASSAJDAH
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT ASSAJDAH
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[32.1] Alif Lam Mim (A.L.M.)
[32.2] Huu ni mteremsho wa Kitabu kisicho kuwa na shakayoyote kinacho toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
[32.3] Au wanasema: Amekizua? Bali hichi ni Kweli iliyotoka kwa Mola wako Mlezi ili uwaonye watu wasio fikiwana mwonyaji kabla yako; huenda wakaongoka.
[32.4] Mwenyezi Mungu ndiye aliye umba mbingu na ardhi naviliomo baina yao kwa siku sita, na akatawala kwenyeKiti cha Enzi. Nyinyi hamna mlinzi wala mwombezi isipokuwa Yeye tu. Basi, je, hamkumbuki?
[32.5] Anapitisha mambo yote yalio baina mbingu na ardhi,kisha yanapanda kwake kwa siku ambayo kipimo chake nimiaka elfu kwa mnavyo hisabu nyinyi.
[32.6] Huyu ndiye Mwenye kuyajua yasiyo onekana na yanayoonekana. Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu.
[32.7] Ambaye ametengeneza vizuri umbo la kila kitu; naakaanzisha kumuumba mtu kwa udongo.
[32.8] Na kisha akajaalia uzao wake utokane na kizazi chamaji madhaifu.
[32.9] Kisha akamtengeneza, na akampulizia roho yake, naakakujaalieni kusikia na kuona, na nyoyo za kufahamu.Ni uchache mnavyo shukuru.
[32.10] Nao husema: Tutapo kwisha potea chini ya ardhi, nikweli tutarudishwa katika umbo jipya? Bali waowanakanusha kwamba watakutana na Mola wao Mlezi.
[32.11] Sema: Atakufisheni Malaika wa mauti aliyewakilishwa juu yenu; kisha mtarejeshwa kwa Mola wenuMlezi.
[32.12] Na ungeli waona wakosefu wanvyo inamisha vichwavyao mbele ya Mola wao Mlezi, (wakisema): Mola wetuMlezi! Tumesha ona, na tumesha sikia. Turejeshe tukatende mema, kwani hakika sisi tumekwisha kuwa nayakini sasa.
[32.13] Na lau tungeli taka tunge mpa kila mtu uwongofuwake. Lakini imekwisha kuwa kauli iliyo toka kwangu :Kwa yakini nitaijaza Jahannamu kwa wote hawa, majini na watu.
[32.14] Basi onjeni kwa vile mlivyo usahau mkutano wa Sikuyenu hii. Na Sisi hakika tunakusahauni. Basi onjeniadhabu ya milele kwa yale mliyo kuwa mkiyatenda.
[32.15] Hakika wanao ziamini Aya zetu ni hao tu ambaowakikumbushwa hizo, basi wao huanguka kusujudu, nahumsabihi Mola wao Mlezi kwa kumhimidi, naohawajivuni.
[32.16] Mbavu zao zinaachana na vitanda kwa kumwomba Molawao Mlezi kwa khofu na kutumaini, na hutoa kutokana natulivyo waruzuku.
[32.17] Nafsi yoyote haijui waliyo fichiwa katika hayoyanayo furahisha macho - ni malipo ya yale waliyo kuwawakiyatenda.
[32.18] Ati aliye Muumini atakuwa sawa na aliye mpotovu?Hawawi sawa.
[32.19] Ama walio amini na wakatenda mema, watakuwa nazoBustani za makaazi mazuri. Ndio pa kufikia kwa waliyokuwa wakiyatenda.
[32.20] Na ama wale walio tenda uovu, basi makaazi yao niMotoni. Kila wakitaka kutoka humo watarudishwa humohumo. Na wataambiwa: Onjeni adhabu ya Moto ambayo mliyo kuwa mkiikanusha.
[32.21] Na tutawaonjesha adhabu khafifu kabla ya adhabukubwa, huenda labda watarejea.
[32.22] Na ni nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anayekumbushwa kwa Ishara za Mola wake Mlezi, kishaakazikataa? Hakika Sisi tutajilipiza kwa wakosefu.
[32.23] Hakika Sisi tulikwisha mpa Musa Kitabu. Basi usiwena shaka kuwa kakipokea. Na tukakifanya kuwa niuwongofu kwa Wana wa Israili.
[32.24] Na tukawafanya miongoni mwao waongozi wanao ongoawatu kwa amri yetu, walipo subiri na wakawa na yakinina Ishara zetu.
[32.25] Hakika Mola wako Mlezi ndiye atakaye fafanua bainayao Siku ya Kiyama katika waliyo kuwawakikhitalifiana.
[32.26] Je! Haijawabainikia kwamba kaumu ngapituliziangamiza kabla yao, nao wanapita katika maskanizao hizo? Hakika katika hayo zipo Ishara. Basi, je, hawasikii?
[32.27] Je! Hawaoni ya kwamba tunayapeleka maji kwenyeardhi kavu, kisha kwayo tunaitoa mimea wanayo kulawanyama wao na wao wenyewe? Je! Hawaoni?
[32.28] Wanasema: Ushindi huu ni lini, kama mnasema kweli?
[32.29] Sema: Siku ya Ushindi, wale walio kufuru imani yaohaitawafaa kitu, wala wao hawatapewa muhula.
[32.30] Basi wapuuze, nawe ngonja; hakika wao wanangoja.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN