The Muslims Internet Directory
SURAT AL-JAATHIYA
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-JAATHIYA
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[45.1] H'a Mim
[45.2] Uteremsho wa Kitabu umetoka kwa Mwenyezi Mungu,Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
[45.3] Hakika katika mbingu na ardhi ziko Ishara kwaWaumini.
[45.4] Na katika umbo lenu na katika wanyama aliowatawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini.
[45.5] Na kupishana usiku na mchana, na riziki anayoiteremsha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwayoakaifufua ardhi baada ya kufa kwake, na mabadiliko yaupepo, ni Ishara kwa watu wenye akili.
[45.6] Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki;basi hadithi gani watakayo iamini baada ya MwenyeziMungu na Aya zake?
[45.7] Ole wake kila mzushi mwenye dhambi!
[45.8] Anaye sikia Aya za Mwenyezi Mungu akisomewa, kishaanashikilia yale yale aliyo katazwa, na anajivuna,kama kwamba hakuzisikia. Basi mbashirie adhabu chungu!
[45.9] Na anapo kijua kitu kidogo katika Aya zetuhukifanyia mzaha. Watu hao ndio watakao kuwa na adhabuya kufedhehesha.
[45.10] Na nyuma yao ipo Jahannamu. Na walio yachumahayatawafaa hata kidogo, wala walinzi walio washikabadala ya Mwenyezi Mungu. Na watapata adhabu kubwa.
[45.11] Huu ni uwongofu. Na wale wale walio zikataa Isharaza Mola wao Mlezi watapata adhabu inayo tokana naghadhabu iliyo chungu.
[45.12] Mwenyezi Mungu ndiye aliye ifanya bahariikutumikieni, ili humo zipite marikebu kwa amri yake,na ili mtafute fadhila yake, na mpate kushukuru.
[45.13] Na amefanya vikutumikieni vilivyomo mbinguni navilivyomo katika ardhi, vyote vimetoka kwake. Hakikakatika hayo zimo Ishara kwa watu wanao fikiri.
[45.14] Waambie walio amini wawasamehe wale wasio zitarajisiku za Mwenyezi Mungu, ili awalipe kwa waliyo kuwawakiyachuma.
[45.15] Mwenye kutenda mema basi ni kwa ajili ya nafsiyake, na mwenye kutenda uovu ni juu yake mwenyewe.Kisha mtarudishwa kwa Mola wenu Mlezi.
[45.16] Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu nahukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri,na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.
[45.17] Na tukawapa maelezo wazi ya amri. Basihawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwaajili ya uhasidi uliyo kuwa baina yao. Hakika Molawako Mlezi atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katikamambo waliyo kuwa wakikhitalifiana.
[45.18] Kisha tukakuweka wewe juu ya Njia ya haya mambo,basi ifuate, wala usifuate matamanio ya wasio juakitu.
[45.19] Kwa hakika hao hawatakufaa kitu mbele ya MwenyeziMungu. Na hakika wenye kudhulumu ni marafiki wao kwawao. Na Mwenyezi Mungu ni rafiki wa wamchao.
[45.20] Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na niuwongofu, na rehema kwa watu wanao yakinisha.
[45.21] Je! Wanadhani wanao tenda maovu kuwa tutawafanyakama walio amini, na wakatenda mema, sawa sawa uhaiwao na kufa kwao? Ni hukumu mbaya wanayo ihukumu!
[45.22] Na Mwenyezi Mungu ameziumba mbingu na ardhi kwahaki, na ili kila nafsi ilipwe yale iliyo yachuma. Naohawatadhulumiwa.
[45.23] Je! Umemwona aliye fanya matamanio yake kuwa ndiyemungu wake, na Mwenyezi Mungu akamwacha apotee pamojana kuwa ana ujuzi, na akapiga muhuri juu ya masikio yake, na moyo wake, na akambandika vitangamachoni mwake? Basi nani atamwongoa huyo baada yaMwenyezi Mungu? Hamkumbuki?
[45.24] Na walisema: Hapana ila huu uhai wetu wa duniani -twafa na twaishi, na hapana kinacho tuhiliki isipokuwa dahari. Lakini wao hawana ilimu ya hayo, ila wao wanadhani tu.
[45.25] Na wakisomewa Aya zetu zilizo wazi hawana hoja ilakusema: Waleteni baba zetu, ikiwa nyinyi ni wasemaokweli.
[45.26] Sema: Mwenyezi Mungu anakuhuisheni, kishaanakufisheni, kisha anakukusanyeni Siku ya Kiyamaisiyo na shaka. Lakini watu wengi hawajui.
[45.27] Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye ufalme wa mbingu naardhi. Na siku itapo simama Saa ya Kiyama, siku hiyowataangamia wenye kushikamana na upotovu.
[45.28] Na utauona kila umma umepiga magoti, na kila ummautaitwa kwenda soma kitabu chake: Leo mtalipwa mliyokuwa mkiyatenda.
[45.29] Hichi kitabu chetu kinasema juu yenu kwa haki.Hakika Sisi tulikuwa tukiyaandika mliyo kuwamkiyatenda.
[45.30] Ama walio amini na wakatenda mema, Mola wao Mleziatawatia katika rehema yake. Huko ndiko kufuzu kuliowazi.
[45.31] Na ama walio kufuru, wataambiwa: Kwani hamkuwamkisomewa Aya zangu nanyi mkapanda kichwa, na mkawawatu wakosefu?
[45.32] Na ikisemwa: Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu nikweli, na Saa haina shaka, nyinyi mkisema: Hatuijuihiyo Saa, tunadhania dhana tu, wala hatuna yakini.
[45.33] Basi ubaya wa waliyo yatenda utawadhihirikia, nayatawazunguka waliyo yafanyia maskhara.
[45.34] Na itasemwa: Leo tunakusahauni kama nyinyi mlivyosahau mkutano wa siku yenu hii; na mahali penu niMotoni, wala hamna wa kukunusuruni.
[45.35] Hayo ni kwa sababu nyinyi mlizifanyia mzaha Aya zaMwenyezi Mungu; na maisha ya dunia yakakudanganyeni.Basi leo hawatatolewa humo wala hao hawatakubaliwa udhuru wao.
[45.36] Basi sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, MolaMlezi wa mbingu, na Mola Mlezi wa ardhi, na Mola Mleziwa walimwengu wote.
[45.37] Na ukubwa ni wake Yeye tu, mbinguni na katikaardhi, naye ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN