The Muslims Internet Directory
SURAT AL-JUMUA'
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-JUMUA'
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[62.1] Viliomo mbinguni na viliomo katika ardhivinamtakasa Mwenyezi Mungu, Mfalme, Mtakatifu, Mwenyenguvu, Mwenye hikima.
[62.2] Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasiojua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, naawafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.
[62.3] Na kwa wengine ambao bado hawajaungana nao. Na Yeyendiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
[62.4] Hiyo ni fadhila ya Mwenyezi Mungu anayo mpaamtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kubwa.
[62.5] Mfano wa walio bebeshwa Taurati kisha wasiibebe, nimfano wa punda anaye beba vitabu vikubwa vikubwa.Mfano muovu mno wa watu walio kadhibisha Ishara za Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu hawaongoi watumadhaalimu.
[62.6] Sema: Enyi mlio Mayahudi! Ikiwa nyinyi mnadai kuwani vipenzi vya Mwenyezi Mungu pasipo kuwa watuwengine, basi yatamanini mauti, ikiwa mnasema kweli.
[62.7] Wala hawatayatamani kabisa, kwa sababu ya iliyokwisha yatanguliza mikono yao. Na Mwenyezi Munguanawajua walio dhulumu.
[62.8] Sema: Hayo mauti mnayo yakimbia, bila ya shakayatakukuteni. Kisha mtarudishwa kwa Mwenye kuyajuayaliyo fichikana na yanayo onekana. Hapo atakwambieni mliyo kuwa mkiyatenda.
[62.9] Enyi mlio amini! Ikiadhiniwa Sala siku ya Ijumaa,nendeni upesi kwenye dhikri ya Mwenyezi Mungu, nawacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua.
[62.10] Na itakapo kwisha Sala, tawanyikeni katika nchimtafute fadhila za Mwenyezi Mungu, na mkumbukeniMwenyezi Mungu kwa wingi ili mpate kufanikiwa.
[62.11] Na wanapo iona biashara au pumbao wanayakimbiliahayo na wakakuacha umesimama. Sema: Yaliyoko kwaMwenyezi Mungu ni bora kuliko pumbao na biashara. Na Mwenyezi Mungu ni Mbora wa watoa riziki.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN