The Muslims Internet Directory
SURAT AL-MAA'RIJ
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-MAA'RIJ
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[70.1] Muulizaji aliuliza juu ya adhabu itakayo tokea,
[70.2] Kwa makafiri - ambayo hapana awezaye kuizuia -
[70.3] Kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye mbingu za daraja.
[70.4] Malaika na Roho hupanda kwendea kwake katika sikuambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu!
[70.5] Basi subiri kwa subira njema.
[70.6] Hakika wao wanaiona iko mbali,
[70.7] Na Sisi tunaiona iko karibu.
[70.8] Siku ambayo mbingu zitakapo kuwa kama maadeni iliyoyayushwa.
[70.9] Na milima itakuwa kama sufi.
[70.10] Wala jamaa hatamuuliza jamaa yake.
[70.11] Ijapo kuwa wataonyeshwa waonane. Atatamani mkosefulau ajikomboe na adhabu ya siku hiyo kwa kuwatoa fidiawanawe,
[70.12] Na mkewe, na nduguye,
[70.13] Na jamaa zake walio kuwa wakimkimu,
[70.14] Na wote waliomo duniani, kisha aokoke yeye.
[70.15] La, hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa,
[70.16] Unao babua ngozi ya kichwa!
[70.17] Utamwita kila aliye geuza mgongo na akageuka.
[70.18] Na akakusanya mali, kisha akayahifadhi.
[70.19] Hakika mtu ameumbwa na papara.
[70.20] Inapo mgusa shari hupapatika.
[70.21] Na inapo mgusa kheri huizuilia.
[70.22] Isipo kuwa wanao sali,
[70.23] Ambao wanadumisha Sala zao,
[70.24] Na ambao katika mali yao iko haki maalumu
[70.25] Kwa mwenye kuomba na anaye jizuilia kuomba;
[70.26] Na ambao wanaisadiki Siku ya Malipo,
[70.27] Na ambao wanaiogopa adhabu itokayo kwa Mola waoMlezi.
[70.28] Hakika adhabu ya Mola wao Mlezi si ya kuaminikanayo.
[70.29] Na ambao wanahifadhi tupu zao.
[70.30] Isipo kuwa kwa wake zao, au iliyo wamiliki mikonoyao ya kuume, basi hao hawalaumiwi -
[70.31] Lakini wanao taka kinyume ya haya, basi hao ndiowanao ruka mipaka.
[70.32] Na ambao wanazichunga amana zao na ahadi zao,
[70.33] Na ambao wanasimama imara katika ushahidi wao,
[70.34] Na ambao wanazihifadhi Sala zao.
[70.35] Hao ndio watakao hishimiwa Peponi.
[70.36] Wana nini wale walio kufuru wanakutumbulia machotu?
[70.37] Makundi kwa makundi upande wa kulia na upande wakushoto!
[70.38] Kwani kila mmoja wao anatumai kuingizwa katikaPepo ya neema?
[70.39] La, hasha! Hakika Sisi tumewaumba kutokana nawanacho kijua.
[70.40] Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote namagharibi zote kwamba Sisi tunaweza
[70.41] Kuwabadili kwa walio bora kuliko wao; na Sisihatushindwi.
[70.42] Basi waache wapige porojo na wacheze, mpakawakutane na siku yao wanayo ahidiwa,
[70.43] Siku watakapotoka makaburini kwa upesi kama kwambawanakimbilia mfundo,
[70.44] Macho yao yatainama, fedheha itawafunika. Hiyondiyo Siku waliyo kuwa wakiahidiwa.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN