The Muslims Internet Directory
SURAT NUH'
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT NUH'
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[71.1] Hakika Sisi tulimtuma Nuh'u kwa watu wake: Uwaonyekaumu yako kabla ya kuwafikia adhabu chungu.
[71.2] Akasema: Enyi watu wangu! Kwa hakika mimi nimwonyaji wa dhaahiri kwenu,
[71.3] Ya kwamba mumuabudu Mwenyezi Mungu, na mumche Yeye,na mumt'ii.
[71.4] Atakughufirieni madhambi yenu, na atakuakhirishenimpaka muda ulio wekwa. Hakika muda wa Mwenyezi Munguutapo fika haucheleweshwi. Laiti mngejua!
[71.5] Akasema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimewaitawatu wangu usiku na mchana,
[71.6] Lakini wito wangu haukuwazidisha ila kukimbia.
[71.7] Na hakika mimi kila nilipo waita ili upatekuwaghufiria, walijiziba masikio yao kwa vidole vyao,na wakajigubika nguo zao, na wakakamia, nawakatakabari vikubwa mno!
[71.8] Tena niliwaita kwa uwazi,
[71.9] Kisha nikawatangazia kwa kelele, tena nikasema naokwa siri.
[71.10] Nikasema: Ombeni msamaha kwa Mola wenu Mlezi;hakika Yeye ni Mwingi wa kusamehe.
[71.11] Atakuleteeni mvua inyeshe mfululizo.
[71.12] Na atakupeni mali na wana, na atakupeni mabustanina atakufanyieni mito.
[71.13] Mna nini hamweki heshima ya Mwenyezi Mungu?
[71.14] Na hali Yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja?
[71.15] Kwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyo ziumbambingu saba kwa matabaka?
[71.16] Na akaufanya mwezi ndani yake uwe nuru, naakalifanya jua kuwa taa?
[71.17] Na Mwenyezi Mungu amekuotesheni katika ardhi kamamimea.
[71.18] Kisha atakurudsheni humo na atakutoeni tena.
[71.19] Na Mwenyezi Mungu amekukunjulieni ardhi kamabusati.
[71.20] Ili mtembee humo katika njia zilizo pana.
[71.21] Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika haowameniasi, na wamemfuata yule ambaye mali yake nawanawe hawakumzidishia ila khasara.
[71.22] Na wakapanga vitimbi vikubwa.
[71.23] Na wakasema: Msiwaache miungu yenu, wala msimwacheWadda wala Suwaa' wala Yaghutha, wala Yau'qa, walaNasra.
[71.24] Na hao walikwisha wapoteza wengi, walausiwazidishie walio dhulumu ila kupotea.
[71.25] Basi kwa ajili ya makosa yao waligharikishwawakaingizwa Motoni, wala hawakuwapata wa kuwanusurubadala ya Mwenyezi Mungu.
[71.26] Na Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juuya ardhi mkaazi wake yeyote katika makafiri!
[71.27] Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala waohawatazaa ila waovu makafiri.
[71.28] Mola wangu Mlezi! Nighufirie mimi na wazazi wangu,na kila aliye ingia nyumbani mwangu kuwa ni mwenyekuamini, na Waumini wote wanaume, na Waumini wanawake. Na wala usiwazidishie walio dhulumu ilakupotea.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN