The Muslims Internet Directory
SURAT AL-INSAN
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-INSAN
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[76.1] Hakika kilimpitia binaadamu kipindi katika zamaambacho kwamba hakuwa kitu kinacho tajwa.
[76.2] Hakika Sisi tumemuumba mtu kutokana na mbegu yauhai iliyo changanyika, tumfanyie mtihani. Kwa hivyotukamfanya mwenye kusikia, mwenye kuona.
[76.3] Hakika Sisi tumembainishia Njia. Ama ni mwenyekushukuru, au mwenye kukufuru.
[76.4] Hakika Sisi tumewaandalia makafiri minyororo napingu na Moto mkali.
[76.5] Hakika watu wema watakunywa katika vinywaji vilivyochanganyika na kafuri,
[76.6] Ni chemchem watakao inywa waja wa Mwenyezi Mungu,wakiifanya imiminike kwa wingi.
[76.7] Wanatimiza ahadi, na wanaiogopa siku ambayo shariyake inaenea sana,
[76.8] Na huwalisha chakula, juu ya kukipenda kwake,masikini, na yatima, na wafungwa.
[76.9] Hakika sisi tunakulisheni kwa wajihi wa MwenyeziMungu. Hatutaki kwenu malipo wala shukrani.
[76.10] Hakika sisi tunaiogopa kwa Mola wetu Mlezi hiyosiku yenye shida na taabu.
[76.11] Basi Mwenyezi Mungu atawalinda na shari ya sikuhiyo, na atawakutanisha na raha na furaha.
[76.12] Na atawajazi Bustani za Peponi na maguo ya haririkwa vile walivyo subiri.
[76.13] Humo wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataonahumo jua kali wala baridi kali.
[76.14] Na vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada yamatunda yataning'inia mpaka chini.
[76.15] Na watapitishiwa vyombo vya fedha na vikombe vyavigae,
[76.16] Vya fedha safi kama kiyoo, wamevipima kwa vipimo.
[76.17] Na humo watanyweshwa kinywaji kilicho changanyikana tangawizi.
[76.18] Hiyo ni chemchem iliyo humo inaitwa Salsabil.
[76.19] Na watawazungukia kuwatumikia wavulana wasiopevuka, ukiwaona utawafikiri ni lulu zilizo tawanywa.
[76.20] Na utakapo yaona, utakuwa umeona neema na ufalmemkubwa.
[76.21] Juu yao zipo nguo za hariri laini za kijanikibichi, na hariri nzito ya at'ilasi. Na watavikwavikuku vya fedha, na Mola wao Mlezi atawanyweshakinywaji safi kabisa.
[76.22] Hakika haya ni malipo yenu; na juhudi zenuzimekubaliwa.
[76.23] Hakika Sisi tumekuteremshia Qur'ani kidogo kidogo.
[76.24] Basi ngojea hukumu ya Mola wako Mlezi walausimt'ii miongoni mwao mwenye dhambi au mwenye kufuru.
[76.25] Na likumbuke jina la Mola wako Mlezi asubuhi najioni;
[76.26] Na usiku msujudie Yeye, na umtakase usiku, wakatimrefu.
[76.27] Kwa hakika watu hawa wanapenda maisha ya kidunia,na wanaiacha nyuma yao siku nzito.
[76.28] Sisi tumewaumba, na tukavitia nguvu viungo vyao.Na tukitaka tutawabadilisha mfano wao wawe badala yao.
[76.29] Hakika haya ni mawaidha; basi anaye taka atashikaNjia ya kwenda kwa Mola wake Mlezi.
[76.30] Wala hamwezi kutaka ila atakapo Mwenyezi Mungu.Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye ilimu, Mwenye hikima.
[76.31] Humuingiza amtakaye katika rehema yake. Na wenyekudhulumu amewawekea adhabu iliyo chungu.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN