The Muslims Internet Directory
SURAT ANNABAA
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT ANNABAA
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[78.1] WANAULIZANA nini?
[78.2] Ile khabari kuu,
[78.3] Ambayo kwayo wanakhitalifiana.
[78.4] La! Karibu watakuja jua.
[78.5] Tena la! Karibu watakuja jua.
[78.6] Kwani hatukuifanya ardhi kama tandiko?
[78.7] Na milima kama vigingi?
[78.8] Na tukakuumbeni kwa jozi?
[78.9] Na tukakufanya kulala kwenu ni mapumziko?
[78.10] Na tukaufanya usiku ni nguo?
[78.11] Na tukaufanya mchana ni wa kuchumia maisha?
[78.12] Na tukajenga juu yenu saba zenye nguvu?
[78.13] Na tukaifanya taa yenye mwanga na joto;
[78.14] Na tukateremsha maji yanayo anguka kwa kasi kutokamawinguni,
[78.15] Ili tutoe kwayo nafaka na mimea,
[78.16] Na mabustani yenye miti iliyo kamatana.
[78.17] Hakika siku ya uamuzi imewekewa wakati wake,
[78.18] Siku litapo pulizwa barugumu, nanyi mtakuja kwamakundi,
[78.19] Na mbingu zitafunguliwa, ziwe milango,
[78.20] Na milima itaondolewa na itakuwa kama sarabi.
[78.21] Hakika Jahannamu inangojea!
[78.22] Kwa walio asi ndio makaazi yao,
[78.23] Wakae humo karne baada ya karne,
[78.24] Hawataonja humo chochote kibaridi wala kinywaji,
[78.25]Ila maji yamoto sana na usaha,
[78.26] Ndio jaza muwafaka.
[78.27] Hakika hao hawakuwa wakitaraji kuwa kuna hisabu.
[78.28] Na wakikanusha Aya zetu kwa nguvu.
[78.29] Na kila kitu Sisi tumekidhibiti kwa kukiandika.
[78.30] Basi onjeni! Nasi hatutakuzidishieni ila adhabu!
[78.31] Hakika wachamngu wanastahiki kufuzu,
[78.32] Mabustani na mizabibu,
[78.33] Na wake walio lingana nao,
[78.34] Na bilauri zilizo jaa,
[78.35] Hawatasikia humo upuuzi wala uwongo -
[78.36] Malipo kutoka kwa Mola wako Mlezi, kipawa chakutosha.
[78.37] Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilio baina yao,Arrahman, Mwingi wa rehema; hawamiliki usemi mbeleyake!
[78.38] Siku atakapo simama Roho na Malaika kwa safu.Hawatasema ila Mwingi wa rehema aliye mruhusu, naatasema yaliyo sawa tu.
[78.39] Hiyo ndiyo Siku ya haki. Basi anaye taka na ashikenjia arejee kwa Mola wake Mlezi.
[78.40] Hakika tumekuhadharisheni adhabu iliyo karibukufika; Siku ambayo mtu atakapo ona yaliyo tangulizwana mikono yake; na kafiri atasema: Laiti ningeli kuwa udongo!
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN