The Muslims Internet Directory
SURAT AL-INSHIQAAQ
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-INSHIQAAQ
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[84.1]Itapo chanika mbingu,
[84.2] Na ikamsikiliza Mola wake Mlezi, na ikapasiwakumsikiliza,
[84.3] Na ardhi itakapo tanuliwa,
[84.4] Na kuvitoa vilivyo kuwa ndani yake, ikawa tupu,
[84.5] Na ikamsikiliza Mola wake Mlezi, na ikapasiwakumsikiliza,
[84.6] Ewe mtu! Hakika wewe unajikusuru kwa juhudikumwendea Mola wako Mlezi, basi utamkuta.
[84.7] Ama atakaye pewa daftari lake kwa mkono wa kulia,
[84.8] Basi huyo atahisabiwa hisabu nyepesi,
[84.9] Na arudi kwa ahali zake na furaha.
[84.10] Na ama atakaye pewa daftari lake kwa nyuma yamgongo wake,
[84.11] Basi huyo ataomba kuteketea.
[84.12] Na ataingia Motoni.
[84.13] Hakika alikuwa furahani kati ya jamaa zake.
[84.14] Huyo hakika alidhani kuwa hatarejea tena.
[84.15] Kwani? Hakika Mola wake Mlezi alikuwa akimwona!
[84.16] Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa,
[84.17] Na kwa usiku na unavyo vikusanya,
[84.18] Na kwa mwezi unapo pevuka,
[84.19] Lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka!
[84.20] Basi wana nini hawaamini?
[84.21] Na wanapo somewa Qur'ani hawasujudu?
[84.22] Bali walio kufuru wanakanusha tu.
[84.23] Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yadhamiria.
[84.24] Basi wabashirie adhabu chungu!
[84.25] Isipo kuwa wale walio amini na wakatenda mema; haowatakuwa na ujira usio malizika.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN