The Muslims Internet Directory
SURAT AL-BURUUJ
Home ↓
Directory ↓
Quran ↓
Hadith ↓
Virtual Library ↓
Discover Islam ↓
Gallery ↓
Webmasters ↓
Dictionary ↓
Downloads ↓
Kids/Games ↓
Login/Register ↓
Quran Tools
Quran Books
Quran Translations
Search
Downloads
Index
Audio
More Links
Muslims Internet Directory
The Quran
The Hadith
2Muslims.com
The Internet
Our Network
Islamic Library
Help/FAQ
Help?
2Muslims Services
Feature Your Site
Submit Your Site
Islamic IE Toolbar
Interactive Games
Free Guestbook
Islamic Internet Gadgets
Islamic Quizzes
Islamic CGI Scripts
Zakat Calculator
Send a Postcard
Islamic Date Converter
DAWA Tools
FAQ About Islam
Hijab
Why do muslim females wear Hijab (Head cover)?
Faith
Culture
Fear
Other
Results
Other Polls
Home
:
Quran Translations
:
Swahili
: Swahili Translation: SURAT AL-BURUUJ
--Select language--
Albanian
Arabic
Azerbaijani
Bengali
Bosnian
Brazilian
Burmese
Dutch
English_Abdullah_Yusuufali
English_Hasan_Qaribullah
English_Muhammad_Pickthall
Farsi
Finish
French
German
Hausa
Hindi
Hindi
Indonesian
Italian
Japanese
Korean
Latin
Malaysian
Melayu
Meranao
Mexican
Pashto
Persian
Poland
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Tamil
Thai
Transliteration
Turkish
Urdu
Advance search options
[85.1] Naapa kwa mbingu yenye Buruji!
[85.2] Na kwa siku iliyo ahidiwa!
[85.3] Na kwa shahidi na kinacho shuhudiwa!
[85.4] Wameangamizwa watu wa makhandaki
[85.5] Yenye moto wenye kuni nyingi,
[85.6] Walipo kuwa wamekaa hapo,
[85.7] Na wao ni mashahidi wa yale waliyo kuwawakiwafanyia Waumini.
[85.8] Nao hawakuona baya lolote kwao ila kuwa wakimuaminiMwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Msifiwa,
[85.9] Ambaye anao ufalme wa mbingu na ardhi; na MwenyeziMungu ni shaahidi wa kila kitu.
[85.10] Hakika walio wafitini Waumini wanaume na Wauminiwanawake, kisha hawakutubu, basi watapata adhabu yaJahannamu na watapata adhabu ya kuungua.
[85.11] Hakika walio amini na wakatenda mema watapataBustani zenye mito ipitayo kati yake. Huko ndikokufuzu kukubwa.
[85.12] Hakika kutesa kwa Mola wako Mlezi ni kukali.
[85.13] Yeye ndiye anaye anzisha na ndiye anaye rejezatena,
[85.14] Naye ni Mwenye kusamehe, Mwenye mapenzi,
[85.15] Mwenye Kiti cha Enzi, Mtukufu,
[85.16] Atendaye ayatakayo.
[85.17] Je! Zimekuwasilia khabari za majeshi?
[85.18] Ya Firauni na Thamudi?
[85.19] Lakini walio kufuru wamo katika kukadhibisha.
[85.20] Na Mwenyezi Mungu nyuma yao amewazunguka.
[85.21] Bali hii ni Qur'ani tukufu
[85.22] Katika Ubao Ulio Hifadhiwa.
Bookmark Us
-
Set as Home
-
Terms Of Use
Other Sites
:
Know The Prophet campaign
-
Discover Islam
-
Links SQL Plugins
Copyright 2003-2013
Islamic Education & Services Institute
: Murfreesboro, TN